आवर्धक लेंस
लोडर खोजें

A. Happy Umwagarwa 
Mioyo Miongoni Mwetu 

समर्थन

Karabo amepona mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994 ambayo yaliyatwaa maisha ya baba yake na wadogo zake. Sasa ameachwa peke yake miongoni mwa mioyo iliyojeruhiwa nchini Rwanda, na hafahamu mahali alipo mama yake.


Karabo alipokwenda kuishi na baba yake mkubwa, ambaye ni kanali kwenye jeshi jipya, anakutana na Shema, mhanga mwingine wa mauaji ya kimbari akiwa miongoni mwa walinzi vijana wa baba yake mkubwa. Tabasamu la Shema linamtetemesha, na Karabo anataka kuusalimisha moyo wake kwake, lakini mambo yanakuwa magumu — Shema anafahamu sehemu tu ya hadithi yake.


Mioyo Miongoni Mwetu ni simulizi ya mapenzi, chuki, na namna vinavyoingiliana. Karabo na Shema, wote wakiwa yatima wanaoomboleza, wanakulia kwenye jamii iliyochanwachanwa — ikitekwa katikati ya ulimwengu wa walio hai na wafu, na migogoro baina ya Wahutu na Watusi.

€9.49
भुगतान की विधि
स्वरूप EPUB ● पेज 376 ● ISBN 9781838206345 ● फाइल का आकार 0.8 MB ● प्रकाशक Rainbow Pigeons Press ● प्रकाशित 2021 ● संस्करण 1 ● डाउनलोड करने योग्य 24 महीने ● मुद्रा EUR ● आईडी 7784661 ● कॉपी सुरक्षा Adobe DRM
एक DRM सक्षम ईबुक रीडर की आवश्यकता है

एक ही लेखक से अधिक ईबुक / संपादक

699,325 इस श्रेणी में ईबुक