Lupa
Search Loader

Ulrich Renz 
Lala salama, mbwa mwitu mdogo – Sov godt, lille ulv (Kiswahili – Kinorwe) 
Kitabu cha picha cha lugha mbili , na online audiobook na video

Apoio
Kitabu cha picha cha lugha mbili (Kiswahili – Kinorwe), na online audiobook na video
Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki…
♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili.
► Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
Tospråklig barnebok, fra 2 år (swahili – norsk), med online lydbok og video
Tim får ikke sove. Hans lille ulv har forsvunnet! Hadde han kanskje glemt ham ute? Helt alene går han ut i natten – og får uventet selskap…
♫ Hør historien lest inn på morsmål! I boken vil du finne en link som gir deg gratis tilgang til lydbøker og videoer på begge språk.
► Med fargeleggingssider! Via en lenke i boken kan bildene fra historien lastes ned for fargelegging.
€4.99
Métodos de Pagamento

Sobre o autor

Ulrich Renz alizaliwa huko Stuttgart, Ujerumani, mwaka wa 1960. Baada ya kusoma fasihi za Kifaransa huko Paris alihitimu shule ya matibabu huko Lübeck na alifanya kazi kama mkuu wa kampuni ya kuchapisha kisayansi. Sasa ni mwandishi wa vitabu vya uongo na vitabu vya watoto vya uongo.
Barbara Brinkmann alizaliwa mjini Munich mwaka 1969 na alikulia katika vilima vya Alps Bavaria. Alisoma usanifu huko Munich na kwa sasa ni mshirika wa utafiti katika Idara ya Usanifu katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Munich. Pia hufanya kazi kama mtengenezaji wa picha wa kujitegemea, mtunzi, na mwandishi.
Língua Norueguês ● Formato EPUB ● Páginas 28 ● ISBN 9783739927084 ● Tamanho do arquivo 42.6 MB ● Idade 17-4 anos ● Tradutor George Aclay Makasi & David Immanuel Glathe ● Editora Sefa Verlag ● Cidade Lübeck ● País DE ● Publicado 2022 ● Carregável 24 meses ● Moeda EUR ● ID 8291077 ● Proteção contra cópia DRM social

Mais ebooks do mesmo autor(es) / Editor

4.423 Ebooks nesta categoria